Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#Inapangishwa KIMARA MWISHO
📍 Kodi ni Tsh 350,000/= *3
--------
_________
• Vyumba 3 vya kulala (kimojawapo master)
• Sebule ya wastani
• Jiko zuri
• Public toilet
* Inajitegemea UMEME
* Ndani ya Fensi
* Paving blocks
* Mazingira Mazuri na Tulivu sana
#Umbali wa 2.5KM, usafiri upo wa bajaji na bodaboda
#Upande wa kwenda mjini
__dn__
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh. 350,000/=
#Kupelekwa Kuona nyumba Tsh 20,000/=
№: O677370515