Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(600,000X6)KIMARA KOROGWE KWA MKUWA
➖➖➖➖➖➖➖➖
HII NYUMBA KUBWA SANA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA SANA INAPANGISHWA 600K X6
KODI NI LAKI SITA MALIPO YA MIEZI SITA
LOCATION KIMARA KOROGWE KWA MKUWA UNAWEZA PITIA UBUNGO EXTRENAL UKAFIKA KUTOKA BARABARA YA LAMI DK2 NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
SIFA ZAKE
#VYUMBA VITATU VYA KULALA VYOTE MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING ROOM
#MAKTABA SEHEMU YA KUHIFADHI VITABU
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#HETER ZA MAJI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCKS GARDEN
#UMEME NA MAJI VINAJITEGEMEA
N.B NYUMBA HII INAFANYIWA UKARABATI MKUBWA SANA WA RANGI NA MAZINGIRA KWA UJUMLA
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 20,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453