Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







House for rent stand alone inayojitegemea ndani ya fency
Location kimara mwisho dakika 12 kutembea mpaka home
Kodi 500000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 3 moja ni master bedroom
Sitting room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block h
Parking space kubwa
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128