Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK1O KWA MIGUU KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Full air condition
Luku yako
Tiles
Gypsum
Slide window
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=ร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
----------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐