Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI INAPANGISHWA KIMARA SUKA
DETAILS
+ vyumba 3 moja master
+ Sebule
+ Jiko la nje
+ Hakuna fens
+ Chini tails
+ Juu gypsum
+ Kuona nyumba elfu 15
+ Kodi 200k malipo ya miezi 6
+ Umeme wake
+ Maji yanaflow
+ Public toilet
+ Usalama wa kutosha
+ Nyumba ipo umbali wa km1.30
MAWASILIANO
+ Simu: Call 0659244543 Call +
0659244543WhatsApp