Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI #BEI 250
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHOO NA BAFU VYA NDANI
#DAINING
#JIKO ZURI
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.