Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
1,200,000. 0759151524
HII NI KWAAJILI YA MATUMIZI YA OFFICE TU NA SIYO MAKAZI
APARTMENT ZIPO MBILI MOJA YA JUU NA MOJA YA CHINI
ZIPO KIMARA SUKA
DAKIKA 5 TU TOKA MOROGORO ROAD
ZINA VYUMBA VITATU
VIKUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA
NA KILA CHUMBA KINA MAKABATI JIKO KUBWA SANA LINA FUNGWA MAKABATI
PUBLIC TOILET KUBWA YA KISASA
YA JUU INAPANGISHWA KAMA OFFICE
KODI NI 1,20,0000/= MAONGEZI YAPO
NA YA JUU KODI 1,20,0000/= MAONGEZI YAPO
CHINI PANAWEKWA PEVING BLOCK SEHEMU ZOTE
NA INA PACKING SEHEMU MBILI ZA KUTOSHA
KWA MATUMIZI YA OFFICE TU NDUGU MTEJA
KWENDA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0679 956 863
0759151524
0781418437