Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*VYUMBA 3 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, DINNING, STORE, GERAGE PARKNG, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*STAND ALONE, NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM3, BAJAJI, NOAH700/=
*KODI 600,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*HII NYUMBA ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 16/4/2024, KUONA NA KULIPIA LUKSA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347