Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
๐ฅ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI NDANI YA NGUO
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#GARDEN
BEI NI 600,000/= X 6
๐น๐ฟ NYUMBA HII NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679447338
0753454167