Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







300,000 x6. Call
=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA MWISHO
UMBALI KM 2 .5
Ipondani ya fence parking kubwa sana
-------boda boda 1000
Bajaji 800
Seble kubwa sana
Vyumba VITATU VYA kulala kimoja master
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 15,000/
Kodi 300,000,/=ร6
--------
Nb
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki tatu 300K
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI