Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI MATOSA (MKWAJUNI)
UKISHUKA BAJAJI AU DALADALA ZA KIMARA UNATEMBEA DK 6
HII NYUMBA UNAWEZA KUPITIA KIMARA AU TEMBONI KOTE USAFIRI UPO WAKUTOSHA
MUUNDO WAKE
VYUMBA VITATU VYAKULALA
KIMOJA MASTAR
SEBULE KUBWA NA DINNG INAJIKO NA PABLICK TOILET
MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
NDANI YA FENSI NYUMBA MBILI
KODI 350,000/=X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
PIA UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONT
0683234124
0718367179