Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
VYUMBA 3 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, DINNING, STORE, GERAGE PARKNG, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*STAND ALONE, NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
NYUMBA IKO UMBALI WA KM3, BAJAJI, NOAH700/=
KODI 600,000/= KWA MWEZI
HII NYUMBA ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 16/4/2024, KUONA NA KULIPIA LUKSA
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0659336751 WSP 0786085637
SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=