Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA KODI TSH 500000x6
INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA STOP OVER DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI.
VYUMBA 3 VYA KULALA 2 MASTER BEDROOM
CHUMBA CHA MLIPA KODI KIKUBWA KAMA SEBLE.
DINNING ROOM
SEBLE KUBWA
JIKO KUBWA
LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
SERVICE CHARGE TSH 20,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1