Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
📣 Inapangishwa KIMARA KOROGWE
📍 Kodi Tsh 400,000/= ×6
_
___________
• Vyumba 3 vya Kulala (Kimojawapo ni Master)
• Sebule
• Dinning
• Jiko
• Public Toilet Nzuri ya Ndani
* Ziko 2 kwenye Fensi, na kila nyumba inajitegemea geti Lake
* Heater ya maji Moto
* Parking
* Mazingira Mazuri na Tulivu
* Nyumba bado Mpya
#Umbali wa 2km, usafiri bajaji 500/=
#Note:- #Mpangaji awe Mkristo 📌 📌
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 400,000/=
#Kupelekwa kuona ni 15,000/=
#0753172516