Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 2 TU ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM1 KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jilo kubwa la kisasa lina makabati
Full air condition
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 700,000/=ร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 7
----------
Contact
๐#0676_218580(WhatsApp)
๐#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐