Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE HII HAPA NI NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE. Ina vyumba vitatu kimoja ni master bedroom na sebure na jiko. Full A/c na kuna cctv camera. Parking ipo kubwa sana. Pia nyumba ina servecotter ina master bedroom na sebure na jiko na ina single room na stoo. Ipo kimara baruti dakika 5 tu kwamguu kutoka stend ya mwendokasi. Kodi ni million 1 na laki 2 tu kwamwezi.
Kuona nyumba.elfu 15000
Utamlipa dalali kodi yamwezi mmoja ukilipia nyumba
Cal
0713320608
0686334182