Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI KUBWA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#STORE
#VYUMBA VINA MAKABATI NDANI
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA SANA
#MAJI YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 400,000/= X 6
💫 NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA KOROGWE KILUNGURE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
# Simu 0757 404087