Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 5
KUTOKA STEND STOP OVER KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
Nyumba ipo peke yake
Kwenye fensi
Vyumba vitatu vya kulala haina master
Ina choo pablic ndani
Jiko zuri
Inajitegemea umeme NA maji
Mazingira mazuri
Hii kwa wale wavivu kutembea
Njoni haraka sanaaa
KODI KWA MWEZI
__________________
kwa mwezi ni laki tatu tuu/=
(300,000)
X 3,4,5,6
CALL
###0655256419