Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X3)KIMARA BARUTI
NYUMBA YA VYUMBA VITATU INAPANGISHWA
Location:Kimara baruti toka morogoro road dk 10 kwamguu
Ina sifa zifuatazo Vyumba vitatu kimoja master sebule na public toilets ya nje
Inajitegemea umeme wake
Maji shared 2 nayanatoka ndani
Haipo kwenye fence usalama upo
Kodi 250k miez 3,4 AU 200k miezi 6
Service charge 20K
Na hela ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba hii.
CONTACT US:-
0716223412
0683597453