Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


ββ
NYUMBA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
π₯ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN NZURI
#PARKING KUBWA
#ULINZI MASAA 24
π₯ NYUMBA HII KWENYE FENSI IPO NA APARTMENT NYINGINE KWA NYUMA ILA HII IPO KWA MBELE KABISA NA ZIPO MBALI MBALI NA APARTMENT ZA NYUMA
#BEI NI 500,000/= X 6
ποΈ NYUMBA HII IPO #KIMARA_STOP_OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
#USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja