Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment ya vyumba vitatu (400,000) KIMARA STOP OVER
APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA
LOCATION: kIMARA STOP OVER
UMBALI DAKIKA 10 KWA MGUU
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LA MAKABATI YA JUU NA CHINI
CHOO CHA FAMILIA
KODI 400,000 × 6
NYUMBA NI YA KUINGIA HATA SASAIVI
KUNA YA JUU NA YA CHINI
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
MAJI MITA YAKO
UMEME LUKU YAKO
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300