Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
---------
Kodi 500,000/=ร5
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
----------
0785918259