Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🏠STEND ALONE MPYA MPYA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 8 KUTEMBEA
SIFA YA NYUMBA NI
Vyumba vitatu vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana
DAING safe
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 15,000 ITADUM MPAKA UPATE NYUMBA
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
💰BEI YA PANGO 500,000 X 6
PIGA SIMU #0625606710