Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(600,000X6)KIMARA KOROGWE 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD..BAJAJI 500
➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA LAKI 6 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 5 AU ZAIDI
BEI NI 600,000/= X 5
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
#STORE
#PARKING
BEI NI 600,000/= X 5
💫💫 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453