Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NIMESHUSHA BEI KUTOKA 350K MPK 300K KARIBU SANA
——
300,000 x5,6KIMARA TEMBONI
——
APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
-----------
NIMESHUSHA BEI KUTOKA 350K MPK 300K KARIBU SANA
#0785889413𝑊𝒉𝑎𝑡𝑠_𝐴𝑝𝑝📲📲
#0785889413