Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYE KWENYE FENCE STEND ALONE KIMARA SUKA KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000X6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
----------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏