Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#
INAPANGISHWA #STAND_ALONE#
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- KIMARA BARUTI( Nyumba lami)
———————————————————
KODI TSHS ML 1,500,000/=KWA MWEZI
________________
MALIPO YA MIEZI 6
————-
IKO PEKE YAKE KWENYE FENSI
Pamoja na servantkota
Ya vyumba viwili
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba vitatu vya kulala, #master Yenye Makabati Ac Sebule dinning Jiko, #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks
Fencedhouse
Garden
____________
Nione
dalalimbezibeach_goba_salasala
0715127812/ WhatsApp
______
Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA
🙏