Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
.
(300,000X6)KIMARA MWISHO 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD BAJAJI ZA KUCHANGIA ZIPO
➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI SANA MAFUNDI WAPO KAZINI
#KIMARA_MWISHO
BEI NI 300,000/= X 6
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA VIWILI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA SANA
UMEME NA MAJI VIPO UNAJITEGEMEA UMBALI KM 2 KWAGARI PIKIPIKI SH 1000 BAJAJI MIASABA UKISHUKA DAKIKA UPO KWENYE NYUMBA
BEI NI 300,000/= X 6
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453