Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE KALI SANA
INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DAKIKA 10
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO LENYE NAFASI
NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA
PAKING SPACE NI KUBWA SANA
KODI. 400000x6 KODI MIEZI 6
KUONA NYUMBA 20,000/=
DALALI 40000/= PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU O677370515