Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam







Aina
Nyumba
Vyumba
3
Barabara ya Karibu
1km
Sifa
Maelezo
Jumba hilo hapo linajitegemea fenc
Jumba lina vyumba 3 vyakulala kimoja masta jiko kubwaa DAINING kubwa sana
Umeme wako maji yako nyumba ipo mtaa mzuri sana hata ukiwa na gali ya chin unafika
Nyumba ipo kimala stop ovar km moja toka rod
Bei yake 400,000 x10 njoo tumalize kwenda kuona 20000
SIMU
0712656027




















