Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KALI SANA INAPANGISHWA
 STAND ALONE
LOCATION/ KINYEREZI MWISHO 
INA VYUMBA VITATU ONE SELF SEBULE 
DININGI JIKO LINAMAKABATI 
 PUBLIC 
KUNA PEVER 
PRICE LK 450 PER MONTH 
MALIPO KUANZIA MIEZI 6
CALL ๐ 0758303039/ WHAT'SP 
_ 0685940124
_ 0711683937
Ghalama ya kuona elf 20,000




















