Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Kinyerezi Songas.
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko
- Public
- Maji unajitegemea
- Umeme unajitegemea
- Paving
- Parking
- Wapangaji wanne
- Fence
- Dakika 2 kutoka kituoni
Kodi 350,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 📞 0688 412 890.