Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Kinyerezi Shule. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE.)
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Vyote vina makabati
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Maji 24/7
- Water reserve tank
- Eneo kubwa
- Parking
- Dakika 2 kutoka kituoni
Kodi 400,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga π 0688 412 890.