Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Kinyerezi Mskitini. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Jiko
- Public toilet
- Paving
- Fence
Kodi 350,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.