Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba mpya inapangishwa Kinyerezi Kwa Swai. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Fence
Kodi 300,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga π 0688 412 890.