Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa Kinyerezi Mwisho. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Water reserve tank
- Kisima
- A/C
- Makabati chumba cha master
- Boycotta
- CCTV
- Electronic fence
Kodi 550,000/= MIEZI SITA.
MUHITAJI PIGA 0688 412 890.