Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
(200,000x3) HII SIO YA KUKOSA KABISA BEI KITONGA MNO NYUMBA YA KUPANGA( STAND ALONE) INAYOJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI INAPANGISHWA
LOCATION : KINYEREZI MWISHO
UMBALI WA KILOMETA (1,5) TOKA KINYEREZI MWISHO STAND
USAFIRI WA UHAKIKA
BAJAJ 500/=
BODA 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK 3 TU
INA VYUMBA (3) VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE KUBWA (DINNG) NA JIKO LA KISASA NA PUBLIC TOILET YA NDANI
TILES GPYSUM SLIDING WINDOW
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOWI
NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA BILA KUSAHAU PESA YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37