Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Kinyerezi. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Maji 24/7
- Water reserve tank
- Parking
- Paving
- Fence
Kodi 500,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga call 📞 0688 412 890.