Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kiseke, Mwanza
NYUMBA INAPANGISHWA KISEKE
-ina vyumba vitatu vya kulala ( kimojawapo ni self contained ), sebule, dinning, jiko na public toilet
-umeme unajitegemea na maji mnashare
-kodi Milioni 4 kwa mwaka
-malipo ni miezi 6
NB:-
-Nyumba ya pili (2) kutoka kwenye barabara ya lami
☎️ 0743220097