Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kiseke, Mwanza
NYUMBA INAPANGISHWA KISEKE
-ina vyumba vitatu vya kulala ( self contained moja ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-nyumba ina AC, CCTV camera, Heater, makabati, Feni, car parking space, water reserve tank na public toilet ya nje
-kodi milioni 6 kwa mwaka
-malipo ni miezi 6
NB:-
-Ipo nyumba moja ndani ya fensi
☎️ 0743220097