Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KUNDUCHI BEACH
-------
Vyumba 3 vya kulala 2 master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Full air condition
Garden safi
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 20,000/=
Kodi 1,500,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 1.5
---------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿