Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mabanda, Tanga
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
INAFANYIWA UKARABATI WA RANGI NDANI NA NJE
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI
#KWA MFUGAJI WA KUKU HAPA NDIO MAHALA PAKE KUNA ENEO KUBWA LA KUWEKA MABANDA
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫 NYUMBA HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 20 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030