Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mabibo, Dar Es Salaam


*Date Listed*14/03/2025
-Nyumba Kali Ya Kifamilia Inayojitegemea Inapangishwa
- Mahali Ilipo:Mabibo Makutano Road
-3 Bedrooms 1 Master
-Seating Room
-Dining
-Kitchen
-Public Toilet
-Servant Cotter(Chumba Single & Chumba Na Sebule Choo Nje Cha Kushea Wawili
- Fenced
-Car Parking Space Available
▪️Service Charge Ni 30,000/=(Payable Once)
▪️Bila Ya Kusahau Kodi Ya Mwezi Mmoja Wa@dalali_msafi_sinza
◾️Price 600,000/=
◾️Term:6 Months
▪︎ Call:- 0752573112
▪️Whatsap: 0752573112
▪️The Untouchable Broker▪️