Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Madale, Dar Es Salaam







Nyumba nzuri sana stand alone inapangishwa:
Room 3 masta 2
Dirning sitting jiko stoo study room public toilet na maji dawasco
A/ C ipo masta kubwa na makabati ya nguo
Pia Kuna jiko la nje na public toilet
Kodi- Million 1 kwa mwez kuanzia miez 6
Location- madale Atlas
Umbali-km 1 kutoka main road madale six mnadani
Karibuni
Dalali Tegeta 0718809744 / 0784234971