Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Madukani, Dodoma







NYUMBA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO-MADUKANI
Vyumba 3 vya kulala 2 ni master bedrooms, sebule dinning jiko kubwa liblary na na public toilet
Kodi 450,000 kwa mwezi × 4
Inajitegemea geti lake, umeme,maji na umeme.
Kutoka Mbezi mwisho KM 2 Boda 1000
Site visit 15,000/=
Simu
0679 997610
0747997630
Msigwa






