Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Magengeni, Mtwara
02/12/2024
NYUMBA KALI SANA INAPANGISHWA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI (STAND ALONE)
___________
LOCATION: BOKO MAGENGENI - Mita 200 Kutoka Main Road
___________
Nyumba ina Vyumba 3 vya kulala, 1 Master, Sebure, Dinning, Stoo, Jiko la kisasa na Public Toilet.
KODI: Tsh. 700,000/=Kwa Mwezi X 6
___________
Service Charge: Tsh.30,000/=
Call/WhatsApp: 0687800788