Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam





🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – MAKONGO JUU
Nyumba nzuri ipo maeneo ya Makongo Juu inapangishwa.
Ina vyumba 3 vya kulala, pamoja na Study Room 1.
Vyumba viwili ni Master Bedrooms (vyenye choo ndani).
Nyumba ina:
Umeme Wa TANESCO Na Solar Backup
Maji Y0a DAWASCO Na kisima Cha Maji
Uwanja mkubwa unaochukua hadi magari 5
Inafaa kwa familia au ofisi.
*📅 Kodi:* TSh 1,500,000 kwa mwezi
Location: Makongo Juu, Dar es Salaam
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp



















