Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa unajitengemea vyumba vitatu vyakulala kimoja kimoja master bedroom public toilet jiko kumbwa Sana
Huduma maji dawasco na umeme unajitengemea
Bei milion moja na laki 5 kwa mwez kod miez 6 tu
Nyumba IPO makongo ipo bala balan kabisa
Nipigie
0653057770
0761719944
0693460720