Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam
Apartments zipo #mbili tuu kwenye fence
Zipo dar es salaam Tz
Location _ Makongo road
_________________________
Bei 600,000 kwa mwezi
Malipo ya miezi 6.
_________________
📍 Muundo wa Nyumba.
#vyumba vitatu vya kulala
#kimoja master Ina kabati la NGUO
#Sebule kubwa
#jiko lenye kabati
Public toilet
Car paving block
Ndani ya fence
_______________
Number
#0688396025whatsp