Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







nyumba inapangishwa ipo boko beach
nyumba ni Stand alone ina vyumba vitatu vya Kulala vyote ni master
kodi ni 700,000 kwa mwezi Malipo ni miezi 6
kupelekwa kuona nyumba 20,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
kwa mawasiliano zaidi piga simu 0677370515